Thursday, March 24, 2011

KAMA HUTUPENDI SISI KAMEZE NDOANO.

WEWEEE NDO BARAFU WANGU WA MOYOOOO......
WA DHIKI NA FARAJA MPENZI KAZA ROHOOOO.....
INGAWA YATASEMWA MENGI MIDOMON MWAO.....
USIWAJALI HAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.

1 comment:

Anonymous said...

asali wa moyyoooo.. hahahhahahahhahahah
nafurahi siku hz una update blog yako nafarijika sn montalizadi