Monday, March 21, 2011

JUMAMOSI ILIISHIA HAPO, SO TWENDE NA J2.....

Ndugu zangu!!
Kama mjuavyo kuwa j2 ni siku ambayo sisi wakristo na WACHUNGAJI 2 BE kama mimi tunaanziaga siku zetu makanisani na hivyo ndivyoo ilikuwa kwa jumapili hii.

No comments: