Sunday, March 27, 2011

HAPPY BIRTHDAY YA ELFRIDAH PANDE ZA GIRRAFE HOTEL

HAPA MABIBI NA MABWANAA, VIBURUDISHO NA MASHOST,WAKIJIACHIA PANDE ZA GIRRAFE HOTEL KTK BIRTHDAY YA UKWEEEEH!!
MTOTO KAZALIWA NA KUANZA KUWAHUDUMIA WATU JAMANIIIII... HUYU NDO ELFRIDAH, KUSHOTO KWAKE NI SISTER WAKE, NA KULIA KWAKE NI MASHOST ZAKE, HAO WOOOOOOOTE WALIOKUWEPO KTK BIRTHDAY HIYO WALIJITAMBULISHA, NA MWISHO WA MANENO YAO WALISEMA WAKO (SINGEL) TEH TEH TEH TEH

No comments: