Wednesday, May 5, 2010

MBUNGE & MKUU WA MKOA

HUU NI UGOMVI KATI YA MBUNGE (BW SENDEKA) NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA(BW SHEKIFU)

2 comments:

Anonymous said...

Yaani analeta ubishi wa kimasai mbele ya dola, anadai yeye ni mkubwa kuliko Mkuu wa Mkoa tena jimbo lake liko ndani ya huo mkoa? Shule bwana shulee ni muhimu kweli, mwisho atadai yeye ni mkubwa kuliko rais wa nchi.

NN Mhango said...

Huu ni ushahidi kuwa CCM imeishiwa kiasi cha kutojua hata haki na stahiki ya mbunge ambaye kimsingi ni mwakilishi wa wananchi.
Pia huu ni ushahidi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ni wakoloni weusi walioteuliwa na rais kuwanyanyasa wananchi bila kujua hadhi hata mipaka ya mamlaka yao. Wenzetu Kenya wamefutilia vyeo hivi wa kupeana na kulipana fadhila. Ngojeni uchaguzi uishe utaona matapeli na wahuni wakipewa ukuu wa wilaya. Hamjasikia waandishi malaya wanaoandika kila upuuzi kumsifia Kikwete ili awape ukuu wa wilaya bila kusahau dada zetu wanaoteuliwa kwa kutembeza nyuchi zao?
Sendeka amelinda heshima ya wabunge na haki za wananchi.
Upuuzi kama huu nimeujadili kwa kina kwenye kitabu changu cha SAA YA UKOMBOZI ambacho kiko madukani kwa sasa. Big up mlioleta uoza huu hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi