Tuesday, July 19, 2011

HISTORIA YA IBRAHIMU NA SARA YAJIRUDIA KWA ASKOFU BRUNO MWAKIBORWAA!!! MIAKA 21 YA NDOA BILA MTOTO HATIMAYE MUNGU ANATOA ZAWADI YA MTOTO UZEENIII

ASKOFU WA JIMBO LA TEMEKE NA MCHUNGAJI WA KANISA LA MITO YA BARAKA BRUNO MWAKIBORWA NA MKEWE, AMBAO TANGU UJANA WAO MUNGU ALIWATUMIA KAMA CHOMBO CHA KUMTANGAZA BILA KUWAPA MTOTO LAKINI KTK HALI ISIYO YA KAWAIDA MWAKA WA 21 WA NDOA YAO MUNGU ANAWASHUSHIA MTOTO

MTOTO ALIYEZALIWA AKAPEWA JINA LA (GWANDUMI) YAANI MALAIKA AU ANGEL, JUMAPILI YA TAR 17/07/2011 GWANDUMI ALILETWA KWA MALA YA KWANZA KTK KANISA LA MITO YA BARAKA NA KUFANYIWA BOOOOONGE LA SHEREHE HUKU WATU KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAKIMIMINIKA KUUSHUHUDIA MUUJIZA HUO KWANI KWA UMRI WAO KUPATA MTOTO NI MUUJIZA... FATILIA MATUKIO KTK PICHAAAA....
HAPA BABA GWANDUMI NA MAMA GWANDUMI WAKIMSHIKILIA MTOTO WAO TAYARI KWA UBARIKIOOOO
MAMA NA MWANAAAAA
AMA KWA HAKIKA SIKU HIYO KANISANI PALIKUWA HAPATOSHI KWANI KILA MWENYE MTOTO ALIPITA NAE MBELEEE NA WOOOOOTE KWA PAMOJA WAKAPATA UBARIKIO NA MTOTO WA MIUJIZA
MUIMBAJI BONI MWAITEGE WA KANISA HILO NAYE HAKUSITA KUMSHUKURU MUNGU KWA NYIMBO MBALIMBALI IKIWEMO NJOOO UFANYIWE MAOMBIIIIIIIIIII
MWIMBAJI WA UKWEEEH FROLA MBASHA NA MMEWE PIA WALIMTUKIZA MUNGU MAHALI HAPO KWA MASONGI MAKALIII KAMA ADUI YAKOOOOO, FANYA NJIA NK
VIONGOZ WA SERIKALI, DINI, NGO'S NA MATAIFA MBALIMBALI WALIKUWEPO KANISANI HAPO KUUSHUHUDIA MUUJIZA HUOOOOOOOOO
MAELFU KWA MAELFU YA WATU WALIMIMINIKA KANISANI SANI HAPO AMA KWA HAKIKA MITO YA BARAKA HAIKUTOSHA SIKU HIYOOOOOO
KAMA UNAVYOONA WATU HIVI NDIVYO WALIVYOKUWA KWA NDANI HALI KADHARIKA NA NJE PIA ILIKUWA HIVIHIVIIIIII

1 comment:

Mamaa Ebenezer said...

SHALOM, KWELI MUNGU AMETENDA HAYA NI MAMBO YA MUNGU WA BIBLIA KWA UMRI WA MTUMISHI NA MAMA THEN KUPATA MTOTO NI ZAIDI YA MUUJIZA.

MUNGU AWABARIKI, NINACHOWEZA SEMA KWAMBA MNAOABUDU MITO YA BARAKA MKO MAHALA SAHIHI, NI KUNYENYEKEA TU KWA MUNGU NAE HUSIKIA NA KUJIBU WATU WAKE.

BARIKIWA MASANJA KWA HIZO TAARIFA JAPO NIMECHELEWA KUZIONA. USIACHE WOKOVU.