Sunday, June 5, 2011

HII NI ZIARA YANGU NCHINI KENYA KWA AJIRI YA KUREKODI VIDEO YA MA SONGI YANGUUUU MWANAWANEE!!

HAPA NI DALAJA GANI SIJUI JINA LAKE TULIANZIA KUREKODI HAPA
BADO TUPO DALAJANII
HAPA WAKATI WA KWENDA NJIANI MVUA ILINYESHA SO GARI ZIKA KWAMA ILA SAFARI ILIENDELEAA
KWAKUWA GARI ILIKWAMA NJAA NDO NIKAUFANYIA MKATE PANDE HIYOO
HII NI AJALI TULIYOKUTANA NAYO NJIANI
ASKARI WA USALAMA BARABARANI WALIKUWEPO KUTOA MSAADA ENEO HILOOO

No comments: