Tuesday, March 15, 2011

SUNDAY ILIKUWA HIVIIIIIII

NILITOA TUZO YA VIDEO BORA KTK GOSPEL AWARDS
NIKA MEET NA B 12 MKALI KUTOKA XXL YA 88.4, PANDE ZA DIMOND


STILL KTK TUZO NIKAKAA NA MAMAA WA (sio kisa pombeeeeee) MWASITI

NJE YA GETI LA DIMOND, NIKA MEET PRESENTER WA WAPO RADIO RITHA CHIWALO
KUMBUKA KABLA YA YOTE NILIANZIA CHURCH...... (MITOOOOO YA BARAKAAA)
No comments: